
Guede huyoo Singida BS, mchongo mzima uko hivi!
MSHAMBULIAJI aliyemaliza na mabao sita katika Ligi Kuu Bara na matatu ya Kombe la FA na moja la Ligi ya Mabingwa Afrika msimu uliopita akiwa na kikosi cha Yanga, Joseph Guede huenda akaendelea kusalia nchini licha ya kudaiwa kupewa ‘thank you’ Jangwani, baada ya kudaiwa anajiandaa kutua Singida Black Stars. Guede alijiunga na Yanga katika…