
19 zachuana kuwania ubingwa Gymkhana
TIMU 19 za soka zitachuana kuwania ubingwa wa Kombe la TBA katika fainali zitakazofika kilele, Julai 19 katika viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam. Mikikimikiki ilianza Julai Mosi kwenye viwanja hivyo vya Gymkhana, huku lengo kubwa likiwa kuboresha afya kwa timu shiriki ambazo zinamilikiwa na taasisi za mabenki hapa nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa…