Tawa yanadi fursa za uwekezaji maonesho ya Sabasaba

Na Beatus Maganja, Dar es Salaam. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam kuhamasisha Watanzania wawekezaji na wageni kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo inayoyasimamia. Akizungumza na wageni waliotembelea banda la TAWA lililopo ndani ya banda la Wizara ya Maliasili na Utalii,…

Read More

Sativa aruhusiwa hospitali | Mwananchi

Dar es Salaam. Edger Mwakabela aliyetekwa na watu wasiojulikana na kutupwa kwenye pori la Hifadhi ya Katavi akiwa na majeraha mwilini, ameruhusiwa kutoka hospitali. Ruhusa hiyo ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa taya la kushoto Julai 3,2024, lililosagika kwa kudaiwa kupigwa risasi na watekaji ambao walilenga kumpiga risasi ya kichwa. Mwakabela maarufu Sativa kupitia mtandao wa…

Read More

Dk Mwinyi: Hakuna aliye salama amani ikitoweka

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewataka wananchi wasikubali kudanganywa kuvuruga amani, kwani ikitoweka hakuna atakayebaki salama na uchumi wa Taifa utadidimia. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Juni 6, 2024 katika hafla ya kilele cha maadhimisho ya mwaka mpya wa Kiislamu Zanzibar katika msikiti wa Jamiu Zinjibar. Dk Mwinyi amesema amani na utulivu…

Read More

Serikali yatoa onyo kwa makandarasi

Unguja. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amewataka makandarasi wanaopewa dhamana ya kujenga miradi ya maendeleo Zanzibar kuheshimu mikataba ya makubaliano wanayoingia kati yao na Serikali, vinginevyo hawatasita kuwachukulia hatua. Hemed ametoa kauli hiyo Julai 6, 2024 alipofanya ziara kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi Kuu ya…

Read More

Sababu zinazochangia wanawake kuota ndevu

Dar es Salaam. Ni jambo la kawaida kwa mwanamume kuota ndevu na ni ishara ya hatua ya ukuaji. Hii ni tofauti na mwanamke kuwa na ndevu ambapo tafsiri huwa tofauti. Mwanamke mwenye ndevu huibua maswali kwa jamii kuhusu sababu ya muonekano wake, jambo ambalo humfanya mhusika kutojiamini. Kutojiamini huku, huwafanya wanawake wenye hali hiyo kutafuta…

Read More