TAWA YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI MAONESHO YA 48 YA KIMATAIFA ALMAARUFU SABASABA 2024

Na Beatus Maganja, Dar es Salaam. MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam kuhamasisha Umma wa watanzania wawekezaji na wageni kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo inayoyasimamia huku ikijinasibu kuwa na fursa lukuki za uwekezaji Akiongea na wageni waliotembelea banda la TAWA…

Read More

Ajali ya lori ilivyowanasa wahamiaji haramu Arusha

Arusha. Ikiwa ni mwendelezo wa ukamataji wa wahamiaji haramu wanaoingia nchi, Jeshi la Uhamiaji Mkoa wa Arusha limewakamata wahamiaji haramu 28 kutoka Ethiopia walioingia nchini kwa njia za panya. Wahamiaji hao wamekamatwa usiku wa kuamkia Julai 5, 2024 baada ya lori la mzigo walilokuwa wamepakiwa kupata ajali baada ya kugongana na lori jingine, hivyo wakalazimika…

Read More

Simba yatambulisha kitasa kipya kutoka Nigeria

KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Augustine Okajepha, 20, akitokea Rivers United ya Nigeria. Kiungo huyo raia wa Nigeria, anajiunga na Simba kipindi hiki cha usajili wa dirisha kubwa kwenda kuongeza nguvu katika kikosi cha Wekundu wa Msimbazi. Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Simba imebainisha kumsajili kiungo kwa mkataba wa miaka mitatu. “Ni…

Read More

TAWA YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI MAONESHO YA 48 YA KIMATAIFA ALMAARUFU SABASABA 2024 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Na Beatus Maganja, Dar es Salaam.   MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam kuhamasisha Umma wa watanzania wawekezaji na wageni kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo inayoyasimamia huku ikijinasibu kuwa na fursa lukuki za uwekezaji.   Akiongea na wageni waliotembelea banda…

Read More