
WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA GREAT RUAHA MARATHON
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mbio za Great Ruaha Marathon 2024 zilizofanyika ndani ya hifadhi ya Ruaha, Mkoani Iringa, Julai 6, 2024. Mbio hizo zililenga kukuza utalii na kutoa hamasa ya kuhifadhi mazingira kwenye vyanzo vya maji vya Mto Ruaha Mkuu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 06, 2024 ameshiriki katika mbio…