NYUMA YA PAZIA: Wazungu walituachia Inaki wakamchukua Nico wao

RAFIKI zetu Wachina sio watu wanafiki sana. Wana bidhaa zao huwa wanatengeneza kwa ajili ya Afrika, halafu wana bidhaa wanatengeneza kwa ajili ya Wazungu wa mataifa yaliyoendelea. Bidhaa zenye ubora zaidi. Watoto wetu wanaozaliwa Ulaya wakati mwingine wanajikuta kama bidhaa tu. Kuna bidhaa zenye ubora zinabaki kwao, halafu kuna bidhaa ambazo wanaleta Afrika. Mara chache…

Read More

Viongozi mbalimbali watembelea Banda la NIC insurance Maonesho ya Sabasaba.

Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Khamis Juma akisaini kitabu  wakati alipotembelea Banda la NIC insurance kwenye Maonesho 48  ya Biashara Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania,  Profesa Ibrahim Hamis Juma  akipata maelezo kutoa  Afisa Bima  wa NIC Insurance  Deogratius Mlumba wakati  Jaji Mkuu hiyo…

Read More

TETESI ZA USAJILI BONGO: Duke Abuya kuihama Singida Black Stars

KIUNGO aliyekuwa akikipiga Ihefu (sasa Singida Black Stars), Duke Abuya inaelezwa yupo katika mazungumzo ya kujiunga na Coastal Union itakayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika. Inadaiwa Abuya aliyemaliza mkataba na Singida ni pendekezo la kocha David Ouma akitaka kuibeba timu katika michuno ya CAF kwa uzoefu alionao. SINGIDA Black Stars, unadaiwa kuridhia kutomuongezea mkataba mpya aliyekuwa…

Read More

Ripoti ya CAG yafichua udhaifu wa taasisi za umma

Unguja. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imefichua jinsi baadhi ya taasisi za umma zinavyokosa usimamizi mzuri wa udhibiti wa ndani kwa kutoanzisha vitengo hivyo kushindwa kufanya kazi kwa mujibu wa sheria, akishauri vipatiwe mafunzo. Hayo yamo kwenye taarifa ya CAG katika kitabu cha ukaguzi wa taarifa za fedha za…

Read More

JKT yaipiga bao Simba | Mwanaspoti

JKT Tanzania imeendelea kuimarisha kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano ambapo inaelezwa imemalizana na beki wa kati, Abdulrahim Seif Bausi aliyekuwa Uhamiaji ya Zanzibar aliyewahi kutakiwa na Simba kabla ya maafande hao kuwapiga bao Wekundu waliombeba Abdulrazak Hamza na kumtambulisha juzi. Beki huyo, ambaye ni mtoto wa nyota wa zamani wa kimataifa…

Read More

Mwabukusi aenguliwa kugombea urais TLS

Dar es Salaam. Ikiwa imebaki siku moja kabla ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Kamati ya rufaa za uchaguzi ya chama hicho, imemuengua wakili Boniface Mwabukusi kugombea urais, ikisema ana doa la kimaadili kinyume na kanuni za uchaguzi huo. Katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Agosti mwaka huu,…

Read More

Morocco: Stars haina kazi rahisi Afcon 2025

SAA chache baada ya timu ya taifa, Taifa Stars kupangwa kundi moja na DR Congo, Guinea na Ethiopia katika kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 zitakazofanyikia Morocco, kocha mkuu wa timu hiyo, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amekiri hilo sio kundi jepesi na kwamba Tanzania ni lazima ikaze kwelikweli ili iende…

Read More