
Urusi yaanza luteka kubwa za jeshi lake la wanamaji – DW – 30.07.2024
Meli zipatazo 300, zikiwemo nyambizi, na zaidi ya maafisa 20,000 watahusika katika mazoezi hayo, ambayo yanafanywa katika Bahari ya Pasifiki na Arctic, pamoja na zile za mataifa ya Baltic na Caspian. Soma pia;Ukraine yaendelea kuyalenga maeneo ya Urusi Wizara hiyo ya ulinzi imesema luteka hizo zitahusisha pia zaidi ya mazoezi 300 ya vita kwa kutumia…