
Coastal UNION yamkomalia Lawi | Mwanaspoti
WAGOSI wa Kaya, Coastal Union imeendelea kuikazia Simba kwa kumng’ang’ania beki wa kati Lameck Lawi, ambaye hapo awali walikubaliana kumuuza kwa Wekundu hao kabla ya kubadili gia hewani. Lawi, mwenye mkataba wa mwaka mmoja na Coastal, alishatambulishwa na Simba baada ya kudaiwa kukubaliana na Wagosi pamoja na mchezaji mwenyewe, lakini kitendo cha mabosi wa Msimbazi…