
Uhispania yawatoa wenyeji Ujerumani nusu fainali – DW – 06.07.2024
Dani Olmo ndiye aliyepachika goli la kwanza la Uhispania katika dakika ya 51, ambalo lilirejeshwa na Florian Witz wa Ujerumani katika dakika ya 89, kabla ya Mikel Merino kuandika ushindi kwa mkwaju wa dakika za nyongeza. Merino mwenye umri wa miaka 28 alishangiria kwa kuigiza staili ya baba yake, Miguel Merino. Aliwaambia waandishi wa habari…