
Bakita, wadau wakitangaza Kiswahili mtaa kwa mtaa Dar
Dar es Salaam. Kuelekea maadhimisho ya lugha ya Kiswahili Duniani Julai 7, Wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi na sekondari, walimu, wananchi pamoja na wadau wa lugha ya Kiswahili wamefanya matembezi ya mtaa kwa mtaa kunadi lugha ya Kiswahili. Matembezi hayo ambayo yameandaliwa na Baraza la Kiswahili Taifa (Bakita) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo…