
Kenya yapunguza bajeti kwa shilingi bilioni 177 – DW – 05.07.2024
Kwenye mabadiliko hayo aidha, nusu ya washauri wa serikali watasimamishwa kazi. Haya yamejiri baada ya maandamano ya wiki tatu ya kuishinikiza serikali kufanya mageuzi. Akilihutubia taifa Ijumaa alasiri, Rais William Ruto alitangaza mabadiliko makubwa serikalini yanayoashiria kulegeza msimamo kufuatia shinikizo za maandamano ya kuipinga serikali. Rais Ruto alisema atawasilisha kwenye bunge la taifa, bajeti iliyopunguzwa kwa…