
Tamasha la Utamaduni na Utalii laanza kwa kishindo Bariadi
Tamasha la Utamaduni na Utalii Kanda ya Ziwa-Lake Zone Cultural and Tourism Festival limeanza Mjini Bariadi kwa kishindo huku Wizara ya Maliasili na Utalii ikisema itaendelea kuwekeza katika utalii wa utamaduni ili kuutangaza zaidi utamaduni wa Kitanzania. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Dunstan Kitandula wakati wa ufunguzi rasmi wa Tamasha la…