Bodi ya sukari, wazalishaji jino kwa jino

MVUTANO wa utoaji wa vibali za sukari na nakisi umeendelea kushika kasi, baada ya Bodi ya Sukari Tanzania (SBT) kueleza kuwa wazalishaji hawasemi ukweli juu ya hali iliyotokea mwaka jana na mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Balozi Ami Mpungwe Kauli hiyo ya SBT inakuja siku chache baada ya Umoja wa Wazalishaji Sukari Tanzania…

Read More

MKURUGENZI MTENDAJI BENKI YA MAENDELEO TIB ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA FEDHA SABASABA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania – TIB, Bi. Lilian Mbassy, (kushoto), akipokea chapisho kutoka Mamlaka ya Rufaa za Zabuni za Umma (PPAA), alipotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji…

Read More

Samia amtwisha Jafo zigo la Kariakoo, ataka ripoti kila baada ya miezi 3

RAIS Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo kwenda ‘kushinda’ Kariakoo badala ya kukaa ofisini ili kushughulikia changamoto za wafanyabiashara wa eneo hilo pamoja na nchi nzima kisha kumpatia ripoti kila baada ya miezi mitatu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Pia amemuagiza akakae na kusikiliza wafanyabiashara hao wa Kariakoo kwa sababu…

Read More

PPAA yaendelea kutoa elimu kwa umma Sabasaba

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeendelea kutoa elimu kwa umma kuhusu majukumu, malengo pamoja na mafanikio yake kupitia Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Katika maonesho haya, wananchi, wazabuni, taasisi nunuzi pamoja na wadau wa sekta ya ununuzi wamepata fursa…

Read More

SILAA -NITAFUATILIA WATENDAJI NA MAOFISA ARDHI WATAKAOTAJWA KUWA MWIBA NA CHANZO CHA MIGOGORO YA ARDHI

Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ,ametoa rai kwa watendaji na maofisa idara ya ardhi katika Halmashauri nchini ,wafanye kazi kwa weledi na kujiepusha kuwa sehemu ya kukuza migogoro kwenye maeneo yao. Ametoa tahadhari kwa watendaji wa ardhi watakaobainika kuwa mwiba, ndani ya Halmashauri zao hatosita watachukuliwa…

Read More

Coastal Union yamtambulisha winga wa Harambee Stars

Kiungo mshambuliaji kutoka Mombasa – Kenya, Abdallah Hassan Abdallah, ametua rasmi katika klabu ya Coastal Union inayoendelea kujiimarisha katika kipindi hiki cha kuelekea msimu mpya 2024/25. Coastal Union imemtambulisha Abdallah leo Ijumaa Julai 05, 2025 ikiamini mchezaji huyo atafanikisha mipango ya klabu hiyo katika kusaka mafanikio kwenye michuano ya Ligi Kuu Bara na Kombe la…

Read More