
Sakata matibabu ya Sativa labeba sura ya kisiasa
Dar es Salaam. Sakata la matibabu ya Edgar Mwakabela, maarufu Sativa aliyejeruhiwa baada ya kutekwa kwa siku nne na kutelekezwa katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi, limechukua sura ya kisiasa baada ya pande tofauti za wanasiasa kutia mguu kwenye suala hilo. Sativa alitoweka Juni 23, 2024 na kupatikana Juni 27, 2024 akiwa amejeruhiwa hasa kwenye…