
SEKTA YA MADINI IMEWAFUNGULIA FURSA WATANZANIA, CHANGAMKENI
Na Wizara ya Madini Kama umekuwa ukifuatilia kwa karibu juhudi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania kuwezesha ushiriki wa Watanzania katika uchumi wa Madini ni vizuri kuona matokeo chanya yanayopatikana kupitia hatua mbalimbali kuanzia Marekebisho ya Sheria ya Madini yaliyofanyika mwaka 2017 ambayo yalijumuisha hitaji la matumizi ya huduma na bidhaa zinazopatikana nchini Tanzania. Marekebisho haya…