
BILIONI 108.43 KUWEZESHA UANZISHAJI, UENDELEZAJI VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI – DKT. BITEKO
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) imetoa mikopo ya shilingi bilioni 108.43 ili kuwezesha uanzishaji na uendelezaji wa viwanda vya uongezaji thamani wa mazao ya kilimo na mifugo nchini. Hayo yamebainishwa leo Julai 5, 2024 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,…