
Benki ya CRDB yaipongeza Yanga kwa Jitihada za Kuendeleza Soka Nchini – MWANAHARAKATI MZALENDO
Meneja wa Benki CRDB Kanda ya Dar es Salaam Muhumuliza Buberwa ameipongeza klabu ya Yanga kwa jitihada wanazozifanya kuendeleza Soka nchini. “Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama nitashindwa kuwapongeza Yanga kwa jitihada kubwa ambayo wameifanya kwenye maendeleo ya soka, tunayo furaha kuwatangazia kuwa tutakuwa pamoja kama mdhamini mkuu wa wiki ya Mwananchi, jambo la muhimu sana…