
Washindi 60 Marathon NBC Dodoma kulamba milioni 80
Jumla ya washindi 60 wa mbio za NBC Dodoma Marathon msimu huu wanatarajiwa kuondoka na zawadi zenye jumla ya thamani ya Sh. 82 milioni pamoja na medali. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mbio hizo zenye hadhi ya kimataifa zinatarajiwa kufanyika tarehe 28 Julai mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma. Lengo la mbio hizo…