
BILIONI 6 KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI SIHA- KILIMANJARO
Na, Majid Abdulkarim, Siha- Kilimanjaro Mbunge wa Jimbo la Siha (CCM) na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollell amesema Shilingi bilioni 6 zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan zinaenda kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jimbo hilo huku akiahidi neema zaidi kwa wananchi hao. Kauli hiyo ameitoa leo wakati wa ziara yake Jimboni…