Anguti Luis atua Coastal Union, kukiwasha KAGAME CUP

Beki Anguti Luis atakuwa sehemu ya kikosi cha Coastal Union msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Beki huyo kutoka nchini Uganda anajiunga na Coastal Union akitokea KCCA ya nchini kwao, na tayari ametambulishwa na klabu hiyo ya jijini Tanga. Taarifa iliyochapishwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii…

Read More

Serikali ya Tanzania kuendelea kushirikiana na wadau wa Maendeleo

Serikali ya Tanzania imebainisha kuwa imejidhatiti kuendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuwawezesha vijana kupitia programu mbalimbali zinazotekelezwa nchini. Inaelezwa kuwa hali hiyo itsaidia kuongeza ushiriki wa vijana katika maendeleo endelevu ya taifa. Hayo yameelezwa na Mratibu wa mradi wa BBT, Vumilia Zikankuba wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kongamano la vijana…

Read More

LIVE: MCL yawakutanisha wadau, wajasiriamali Dar

Dar es Salaam. Takribani wajasiriamali 1,000 wadogo, wa kati na chini wanakutanishwa katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Juni 5, 2024 kujadili fursa zilizomo katika sekta hiyo. Wadau, wajasiriamali wakipewa nondo Mlimani City Wadau wa sekta hiyo iliyoajiri idadi kubwa ya vijana nchini, watakutana katika Kongamano la Wajasiriamali Wadogo, wa…

Read More

Mafundi nguo wenye ulemavu wapata dili Sabasaba

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Kuona ni kuamini ndivyo unavyoweza kusema kutokana na umahiri unaooneshwa na vijana wenye ulemavu waliohitimu fani ya ushonaji, ubunifu na teknolojia ya nguo kutoka vyuo vya Veta ambao wamepata fursa ya kuwashonea washiriki na watembeleaji wa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba. Vijana hao Riziki Ndumba na…

Read More

Waziri Mkuu Uingereza abwagwa, Labour washinda

Uingereza. Chama cha Labour kimeshinda Uchaguzi Mkuu wa Uingereza 2024 baada ya kufikisha viti 409 kikipita idadi ya viti 326 vinavyohitajika. Ushindi wa Labour umeacha pigo kubwa kwa Chama cha Conservative kilichopata viti 113, likiwa ni anguko kubwa katika historia yao. Waziri Mkuu wa Uingereza, aliyepo madarakani Rishi Sunak amesema anakubali kuwajibika kwa kushindwa katika…

Read More