
VIKWAZO VINAVYOWAKWAMISHA WANAWAKE WENYE ULEMAVU KUSHIRIKI KATIKA MICHEZO.
Wanawake wenye ulemavu uwe wa viungo, wasioona, viziwi, walemavu wa akili na aina nyingine za ulemavu wana haki na wanaweza kushiriki katika michezo mbalimbali kama vile Mpira wa miguu (Amputee Football), kuogelea, kukimbia, kurusha Tufe, Mishale, mbio za Baskeli za Maringi matatu (3) na michezo mengine kama walivyo wanawake wengine. Tafiti zinaonesha kuwa njia pekee…