
Diwani Kata ya Ilala ajivunia utekelezaji wa Ilani
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Diwani wa Kata ya Ilala Saady Kimji na viongozi wengine wa Chama cha Mapinduzi(CCM) wa Kata hiyo wametembelea miradi mbalimbali, huku akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya chama hicho kwa kipindi cha 2023 hadi 2024. Akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Kata ya Ilala leo Julai 4, 2024…