Kampuni ya DL GROUP kulipa wafanyakazi ndani siku saba

MWEKEZAJI wa viwanda na mashamba ya chai yaliyopo mkoani Iringa na Njombe amesema Kampuni ya DL Group ipo mbioni kulipa mishahara ya miezi miwili kwa wafanyakazi wake wote wa viwandani na mashambani ndani ya siku saba kuanzia leo tarehe 4 Julai 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Njombe…(endelea). Akizunzungumza na  waandishi wa habari leo Alhamisi miongoni mwa…

Read More

TET YATOA ELIMU KUHUSU MUUNDO WA MTAALA MPYA WA ELIMU SABASABA

TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imeendelea kutoa elimu kuhusu muundo wa mtaala mpya wa elimu ulioboreshwa katika Maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika Maonesho hayo leo Julai 4, 2024, Mkuza Mitaala kutoka TET, Augusta Kayombo amesema watanzania watakaofika…

Read More

Jaji Warioba akosoa ‘uchawa’ kwenye vyombo vya habari

Dar es Salaam. Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amevitaka vyombo vya habari kujikita katika kutoa habari zinazowahusu wananchi zaidi badala ya viongozi. Kwa mujibu wa Jaji Warioba, hivi sasa kumejitokeza baadhi ya vyombo vya habari ambavyo vimegeuka kuwa vya propaganda. Jaji Warioba aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, amesema chombo chochote…

Read More

Tamasha la Utamaduni na Utalii kutimua vumbi Bariadi

Baadhi ya wapiga ngoma na waimbaji kutoka Makundi ya Wagika na Wagulu wakipasha ili kujiandaa na Tamasha la Utamaduni na Utalii Kanda ya Ziwa. Hatimaye Tamasha la Utamaduni na Utalii Kanda ya Ziwa – Lake Zone Cultural and Tourism Festival lililokuwa linasubiriwa kwa hamu sasa linatarajiwa kuanza rasmi kesho Julai 5, 2024 Tamasha hilo la…

Read More

Mrithi wa Inonga Simba yupo hapa!

SIMBA inaendelea kusajili majembe mapya, ikiwamo jana kumtambulisha Abdulrazak Hamza kutoka Cape Town City ya Afrika Kusini sambamba na mrithi wa Clatous Chama, nyota kutoka Ivory Coast, Ahoua Jean Charles na sasa inapambana kushusha beki wa kuziba nafasi ya Henock Inonga aliyetua FAR Rabat ya Morocco. Mezani kwa mabosi wa Simba ina majina manne ya…

Read More

TARURA WEKENI VIVUKO, BARABARA ZA PEMBEZONI NA TAA KWA USALAMA WA WATUMIAJI WA BARABARA – MHA. MATIVILA

Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu) Mhandisi Rogatus Mativila ameilekeza TARURA kuweka alama za vivuko vya watembea kwa miguu, barabara za pembezoni za watembea kwa miguu, taa za barabarani pamoja na za kuongozea magari kwa ajili ya usalama wa watumiaji wa barabara mpya ya mwangaza inayounganisha kisasa na medeli. Mhandisi…

Read More

Kuwekeza kwa Walimu, Viongozi wa Shule Muhimu katika Kuwaweka Wasichana Shuleni Matokeo ya Utafiti wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika — Masuala ya Ulimwenguni

Wasichana wa Shule ya Wasichana ya Dabaso huko Malindi, Kenya, wakipiga picha na mpira wakati wa mapumziko. Elimu ya sekondari kwa wote inaweza kukomesha ndoa za utotoni na kupunguza uzazi wa mtoto kwa hadi robo tatu, kulingana na ripoti ya Umoja wa Afrika na UNESCO. Credit: Kwa Hisani ya Stafford Ondego kwa EDT PROJECT by…

Read More