
Tembeleeni banda la Ofisi ya Waziri Mkuu, tupo tayari kuwahudumia-Dk.Yonazi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu, Dk. Jim Yonazi amesema wamejipanga kuwafikia wananchi wanaopata huduma katika banda jumuishi la ofisi hiyo lililopo kwenye maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba. Akizungumza leo Julai 4,2024 na waandishi wa habari mara baada ya…