
Shinikizo laiandama serikali ya Kenya kutuliza maandamano – DW – 04.07.2024
Hali imeanza kurejea ya kawaida katika jiji kuu la Nairobi kufuatia siku kadhaa za purukushani na maandamano yaliyowaua zaidi ya 40. Tofauti na ilivyokuwa Jumanne wiki hii pale polisi walipovurugana na waandamanaji, eneo la katikati ya jiji lilikuwa tulivu huku maafisa wa usalama wakipiga doria. Waandamanaji 187 waliokamatwa wakati wa purukushaniwameachiliwa kwa dhamana. Kwa mujibu…