Wizara ya Fedha na Kamati ya Dira WAKUTANA

Wizara ya Fedha ni Wizara muhimu katika maendeleo ya Taifa na ufanikishaji wa Maazimio ya Dira ya Taifa ya Maendeleo  Nchini, kwa kuzingatia hilo jana  Kamati  ya usimamizi wa Dira.  Wajumbe wa Tume ya Mipango na Timu ya kitaalamu na uandishi wa dira ya Maendelo 2050 , walikutana kuweza kupata picha kamili ya walipotoka na…

Read More

Mwanza sasa kuwa na Uwanja wa Gofu

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amethibitisha kwamba Serikali imeanza mchakato wa kuwezesha ujenzi wa uwanja wa gofu katika jiji la Mwanza ili liendane na hadhi ya majiji mengine duniani kwani mchezo huo huvutia utalii wa michezo. Akizungumza jana  jijini hapa, Dk Ndumbaro alisema ameshafanya mazungumzo na wataalam kutoka PGA Legend Golf…

Read More

Taifa Stars yapewa DR Congo kufuzu Afcon 2025

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imepangwa Kundi H na DR Congo, Ethiopia na Guinea katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika ‘Afcon’ 2025 ambazo zitafanyika Morocco. Mchujo wa kuwania kufuzu michuano hiyo ulianzia hatua ya awali Machi 21 hadi 26 mwaka huu na sasa inakwenda hatua…

Read More