
MBUNGE MTATURU AITAKA RUWASA KUKAMILISHA MRADI MAPEMA
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,akizungumza kwenye ziara katika Kata ya Kikio kwa ajili ya kutoa mrejesho wa Bunge la Bajeti 2024/2025,kuhamasisha uchaguzi wa serikali za mitaa,vijiji na vitongoji 2024 na kusikiliza kero za wananchi. ……. MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amefanya ziara katika Kata ya Kikio na kukagua mradi wa maji wa kijiji…