
MAJIMBO YOTE YA UCHAGUZI MKOA WA MWANZA KUPATA BARABARA ZA KIWANGO CHA LAMI-MHANDISI AMBROSE
Katika kipindi cha mwaka 2023/2024 serikali imetekeleza miradi 7 ya maendeleo katika mkoa wa Mwanza yenye urefu wa kilomita 39 ambapo gharama za miradi hiyo ni Shilingi Bilioni 56.038 ambapo majimbo yote ya uchaguzi yatapata barabara ya lami. Akizungumza mara baada ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara ili kujionea hatua zilizofikiwa…