NIONAVYO: Usajili wa ‘galacticos’, kibiashara bado si poa

TANZANIA ni moja ya nchi za Kiafrika zinazosifika kwa kununua magari yaliyotumika hasa yale ya Kijapani na zaidi ya kampuni ya Toyota. Unaweza kutembea siku nzima usipate gari la Kijapani lililonunuliwa likiwa jipya. Pamoja na kwamba magari hayo yametumika, kwa mtu wa kawaida kama mimi atapata mtihani kuyatofautisha na yale yaliyonunuliwa yakiwa ‘zero kilometer’ kwani…

Read More

Mahakama yaitahadharisha Serikali kuchelewesha kesi ya ‘Boni Yai’, Malisa

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeitahadharisha Jamhuri kutokana na kukwamisha usikilizwaji wa awali wa kesi inayomkabili mfanyabiashara na mwanasiasa, Boniface Jacob na mwenzake, mwanaharakati Godlisten Malisa, ikisema inatoa ahirisho la mwisho. Jacob, maarufu Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam na Malisa, mkazi wa Moshi, mkoani…

Read More

Dk.Mwinyi akutana na Rais wa Msumbiji

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uhusiano uliopo kati ya Msumbiji na Tanzania ni wa ukaribu na urafiki. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe: 4 Julai 2024, alipokutana na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi aliyefika Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kumaliza ziara…

Read More

NMB yakopesha bilioni 585 kwa mwaka 2023/2024

IMEELEZWA kuwa mazingira bora ya biashara yaliyopo nchini yameiwezesha Benki ya NMB kutoa mikopo ya zaidi ya Sh 585 bilioni katika kipindi cha kuanzia Julai 2023 hadi Mei 2024. Pia benki hiyo imeeleza kuwa na uwezo wa kukopesha hadi Sh 515 bilioni kwa mkupuo mmoja ‘single borrower limit’ kutokana na kufanya vizuri kwenye soko la…

Read More