
Kimbunga Beryl chaipiga Jamaika na sasa kinaelekea Mexico – DW – 04.07.2024
Kimbunga Beryl kimeleta maafa makubwa kwenye mataifa ya kanda ya Karibia baada ya kuipiga Jamaica, Barbados na kuharibu kiasi asilimia 95 ya makazi ya watu kwenye taifa la visiwa la St. Vincent na Grenadines. Hadi sasa watu 9 wamekufa na inaelezwa Kimbunga hicho kimeanza kubadili mwelekeo na sasa kinatazamiwa kitaipiga pwani ya Mexico. Soma zaidi.Kimbunga Beryl…