
Mamilioni ya Waingereza wapiga kura katika uchaguzi mkuu – DW – 04.07.2024
Huu ni uchaguzi wa kwanza wa kitaifa tangu Boris Johnson aliposhinda kwa kishindo kura ya mwaka 2019. Unafanyika baada ya Waziri Mkuu Rishi Sunak kuchukua hatua ya kushangaza ya kuitisha uchaguzi huo miezi sita mapema kuliko ilivyotakiwa. Zaidi ya vituo 40,000 vya kupigia kura kutumika Upigaji kura ulianza tangu saa moja kamili asubuhi kwa saa za…