Waingereza kuifuta historia ya Conservatives leo?

Waingereza milioni 50 wanatarajiwa kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu leo Alhamisi, huku kiongozi wa chama cha upinzani cha Labour akitabiriwa kumbwaga waziri mkuu wa sasa, Rishi Sunak, baada ya miaka 14 ya utawala wa chama cha Conservatives. Inaripoti Mitandao ya Kimataida … (endelea). Uchunguzi wa maoni ya wapigakura unaonesha kwamba Keir Starmer wa Labour atapata…

Read More

SUMAJKT yaajiri vijana 16,000 kwenye ulinzi

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Zaidi ya vijana 16,000 wamepata ajira ya ulinzi katika Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) na kujikwamua kiuchumi. Akizungumza Julai 3,2024 kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele, amesema fursa hiyo ya ajira imewawezesha vijana hao kujikimu…

Read More

DC SAME AWAONYA WAFUGAJI WANAOHUJUMU SKIMU ZA UMWAGILIAJI.

NA WILLIUM PAUL, SAME.  MKUU wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amewatahadharisha wafugaji wanao hujumu miundombibumu kwa kuingiza mifugo kwenye maeneo ya Skimu za umwagiliaji za Ndungu na Kihurio kuacha mara moja.  Aidha amewaagiza Viongozi wa Skimu na Serikali kwenye maeneo hayo lazima kuwe na usimamizi mzuri wa sheria na taratibu zote zinazohusiana…

Read More

UDOM kuongeza nguvu katika tafiti zinazotatua changamoto kwenye jamii

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimesema kimejielekeza kufanya tafiti zinazotoa majibu ya changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii kuhakikisha kunakuwa na ustawi kwa Watanzania. Akizungumza Julai 3,2024 kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba Naibu Makamu Mkuu wa chuo hicho (Mipango, Fedha na Utawala), Profesa Wineaster Anderson, amesema tafiti…

Read More

Gaza 'imegawanyika sehemu mbili' huku raia, wafadhili wakirudisha maisha, juhudi za misaada – Masuala ya Ulimwenguni

Akizungumza kwa njia ya video kutoka Jerusalem, Andrea De Domenico, mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) katika ardhi ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu (OPT), walisema watu wamelazimika “kurekebisha maisha yao tena na tena.” “Watu, katika kipindi cha miezi tisa iliyopita, wamehamishwa kama 'vibao kwenye mchezo wa bodi'…

Read More