
MSHOMBA AFICHUA SIRI MAFANIKIO YA NSSF
*Asema mazingira mazuri ya uwekezaji chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia yamechochea mafanikio Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha Mshomba amefichua siri ya mafanikio makubwa ambayo NSSF imeyapata kuwa yamechangiwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa…