Rais Samia awaita wafanyabiashara kuchangamkia soko huru Afrika

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wenye bidhaa zenye viwango kwenda katika Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (Tantrade) na kujisajili ili waweze kunufaika na Soko Huru la Biashara Afrika ambalo Tanzania imeridhia. Hadi sasa kampuni 11 zimeanza kutumia fursa hiyo muhimu kusafirisha bidhaa za kahawa, katani, viungo, karanga na tumbaku kwenda…

Read More

VETA yatoa mafunzo kwa madereva 5170

Mwalimu wa VETA Kihonda William Munuo akizungumza na mteja kwenye Banda la VETA katika Maonesho ya Biashara Kimataifa ya 48 yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. *Nikufuata madereva katika Ofisi zao bila kuathiri safari Na Mwandishi Wetu  MWALIMU wa Magari Makubwa VETA Kihonda William Munuo amesema kuwa baada ya VETA…

Read More

Uzayuni Umevunjwa – Masuala ya Ulimwenguni

Mtoto akisubiri kujaza vyombo vya maji huko Gaza. Credit: UNRWA Maoni na James E. Jennings (Atlanta, Georgia) Jumatano, Julai 03, 2024 Inter Press Service ATLANTA, Georgia, Julai 03 (IPS) – Uzayuni umevunjwa. Imekamilika kama falsafa ya kisiasa na haiwezi kudumu kwa muda mrefu. Baada ya kupata upinzani mkubwa wa umati wa watu na nchi kote…

Read More

TIRDO YASHIRIKI KWENYE MAONESHO SABASABA

SHIRIKA la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania(TIRDO) wameendelea kutoa elimu katika Maonesho ya Kimataifa ya Dar Es Salaam maarufu kama Sabasaba yaliyoanza rasmi Juni 28 na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 13 Julai 2024. Maonesho hayo yanayokutanisha wafanyabishara na wajasiriamali kutoka kila pande ya dunia ,TIRDO imeshiriki kwa kuonesha teknolojia mbalimbali za kitaalamu na za kiubunifu….

Read More

NAIBU WAZIRI NYONGO- MAONESHO SABASABA NI FURSA KUTANGAZA NA KUWAKARIBISHA WAWEKEZAJI NCHINI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb.) amesema Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara maarufu (Sabasaba) ni fursa muhimu ya kutangaza na kuwakaribisha wawekezaji ili kuona fursa mbalimbali za uwekezaji nchini. Ameyasema hayo leo tarehe 03 Julai, 2024 katika mahojiano maalumu aliyofanya baada ya kutembelea Taasisi zilizo chini ya…

Read More