
TGNP YATOA SOMO LA MALEZI BORA NA YANAYOFAA KWA WATOTO KWA WANA-DGSS
WAZAZI na walezi wametakiwa kuwa na aina au mfumo wa malezi ya Kidemokrasia ikiwemo kujenga mahusiano mazuri pamoja na kutilia maanani hisia za mtoto au watoto. Wito huo umetolewa leo Julai 3, 2024 katika Semina za Jinisa na Maendeleo ambazo hufanyika kila Jumatano katika Viwanja vya TGNP- Mtandao Mabibo Jijini Dar es Salaam. Mwanasaikolojia Sylvia…