Olympic 2024 Huko Ufaransa Inazidi Kunoga Haswa

Michezo ya Olympic huko Ufaransa inazidi kunoga haswa ambapo ndani ya Meridianbet wameona kuwa wasikuache hivi hivi wamekuwekea ODDS za kibabe sana. Ingia na ubashiri michezo zaidi ya 200 sasa. Inajulikana kuwa michezo ya Olympic mwaka huu wa 2024 ilianza Julai 26 na inatarajia kumalizika hapo Agosti 11 mwaka huu ambapo michezo hii imejumuisha takribani…

Read More

Thomas Mlugu aaga michuano ya Olimpics

Tegemeo la Watanzania kuchukua Medali kwenye Judo imefika mwisho baada ya Thomas Mlugu ambaye alitinga hatua ya 16 bora kwa kumpiga William Tin Tan na kuvuka hatua ya makundi kupoteza pambano mbele ya Mfaransa Gaba. Licha ya Mlugu kuanza vyema kwa kuibuka na ushindi katika hatua ya 32 kwenye mchezo wa Judo, Mlugu amepoteza pambano…

Read More

Kwa nini Kinana alirudisha majeshi CCM, kujiuzulu?

Julai 29, 2024, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Abdulrahman Kinana kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho-Bara. Uamuzi kama huo ulikuwa Mei 28, 2018, Kinana aliandika barua ya kujiuzulu ukatibu mkuu wa CCM kwa mwenyekiti wa wakati huo, Rais John Magufuli. Hata hivyo, Aprili mosi, 2022…

Read More

Kujenga Kesho Leo – Masuala ya Ulimwenguni

Jinsi masuluhisho yanayoongozwa na vijana yanavyounda mustakabali wa elimu ya utotoni. Credit: Umoja wa Mataifa Maoni na Robert Jenkins, Kevin Frey (umoja wa mataifa) Jumatatu, Julai 29, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Julai 29 (IPS) – Duniani kote, vijana wanaendesha mabadiliko kuhakikisha vijana wetu wanaosoma wanapata mwanzo bora zaidi maishani. Katika maeneo ya…

Read More