
Jaji Mkuu atoa onyo kwa mawakili, aipa kazi TLS
Dar es Salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amewakubali na kuwapokea mawakili wapya 555 na kuwasajili katika daftari la mawakili nchini, huku akiwaonya mawakili wenye utovu nidhamu. Pia, amekitaka Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kuwasimamia wanachama wake ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia maadili na uaminifu katika utoaji haki nchini. Profesa Juma…