
Lugalo Open yateka wapiga fimbo 150 Dar
VUMBI na nyasi kutimka katika viwanja vya gofu vya Lugalo, ambavyo vitakuwa ni shuhuda wa miamba zaidi ya 150 watakaokuwa kuwania tuzo mbalimbali za mashindano ya wazi ya gofu yanayoanza kesho. Yakija kwa jina rasmi la Lugalo Open, ni mashindano ya siku tatu yatakayowashirikisha wacheza gofu ya kulipwa (mapro) na wale wa ridhaa, kwa mujibu…