
TRA Kigoma yakiri mtumishi wake kudakwa na meno ya tembo
Kigoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma, limethibitisha kuwa linamshikilia Arving Bagisheki (39) akidaiwa kukutwa na meno mawili ya tembo ndani ya gari. Taarifa za kukamatwa kwa Bagisheki zilianza kusambaa jana kwenye mitandao ya kijamii zikitaja kuwa ni mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoani Kigoma. Mwananchi imezungumza na Meneja wa TRA Mkoa wa…