Waziri alia siasa kushamiri matukio nane ya utekaji 2024

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema katika kipindi cha mwaka huu kuanzia Januari kumetokea matukio manane ya utekaji na asilimia kubwa ya watuhumiwa wa utekaji huo wamekamatwa na kufikishwa mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar  Zubeir ameeleza kushangazwa na…

Read More

KESI YA UKAHABA: Majibu ya shahidi yalivyoiudhi Mahakama

Dar es Salaam. Shahidi wa nne katika kesi ya ukahaba inayowakabili washtakiwa watano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive, ameikera mahakama kwa majibu ya ‘sijui’ kwa maswali aliyoulizwa na mawakili wa utetezi. Shahidi huyo ambaye ni polisi wa kike (WP) Konstebo Masadi Madenge kutoka Kituo cha Polisi Magomeni Usalama ametoa majibu hayo jana Julai…

Read More

TETESI ZA USAJILI: Gift, Yanga SC kitaeleweka tu

Uongozi wa Yanga huenda ukaachana na beki wa kati wa kikosi hicho Mganda, Gift Fred, licha ya kubakisha mkataba wa miaka miwili. Beki huyo aliyejiunga na Yanga Julai 7, mwaka jana akitokea SC Villa ya Uganda, inaelezwa anaweza kuvunjiwa mkataba uliosalia ambao utafikia tamati Juni 30, 2026 ili kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni ambao…

Read More

Baada ya Korea Kaskazini, Vietnam sasa Putin atua Kazakhstan

Moscow, Urusi. Taarifa ya leo Jumatano, Julai 3, 2024 ya Ikulu ya Urusi inasema Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin amewasili nchini Kazakhstan ambapo atahudhuria mkutano katika mji mkuu wa Astana. Shirika la Ushirikiano la Shanghai (SCO) lenye wanachama tisa, linajumuisha sehemu yake ya wanachama kutoka Moscow hadi Beijing, China huku ikitajwa kujumuisha karibu nusu…

Read More

‘Serikali itaendelea kusimamia, kukuza uadilifu wa maadili’- Dkt Biteko

📌Azitaka taasisi za dini kushirikisha Serikali kusimamia maadili 📌Wizara ya Maendeleo ya Jamii Shirikisheni wadau 📌Azitaka taasisi za umma na Serikali kuwa mfano bora kwenye jamii kuhusu maadili 📌Asisitiza maadili kupewa kipaumbele katika Mtaala wa Elimu Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali itaendelea kusimamia na kukuza uadilifu wa maadili kama…

Read More

FCC YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA KWA MAFANIKIO

  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma (FCC) Roberta Feruzi akitoa elimu kuhusu (FCC) inavyofanyakazi kwa vijana waliotembelea Banda la (FCC) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai, 2024,…

Read More