
WASANII WA FILAMU BONGO KUJIFUNZA ZAIDI KOREA KUSINI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Balozi wa Tanzania Korea Kusini, Ndg. Togolani Edriss Mavura amethibitisha kupokea ugeni wa Wasanii wa Filamu Tanzania nchini humo na kufanya mazungumzo ya namna ya kuendeleza ushirikiano na Korea kusini ili kupata ujuzi na uzoefu zaidi katika kukuza Tasnia ya Filamu nchini Tanzania. “Nimefanya mazungumzo na wasanii wa filamu wa Tanzania waliofika Ubalozini leo asubuhi….