MAJALIWA AMPONGEZA ASKOFU PISA KWA KUCHAGULIWA KUWA RAIS WA  TEC

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anasisitiza ufanyaji kazi kwa ushirikiano kati ya Serikali na Taasisi za Dini nchini ili kuendelea kujenga amani, umoja na mshikamano. Amesema kuwa Serikali inatambua mchango mkubwa unaotolewa na Taasisi hizo ambao huleta matokeo chanya kwa ustawi wa Taifa. “Tunashukuru tunapata ushauri, yapo mambo ambayo…

Read More

Kesi za mauaji kuendelea kuunguruma Geita leo

Geita. Wakati Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Geita ikiendelea na kikao cha pili cha kesi za mauji hapa Mjini Geita leo, tayari kesi mbalimbali zimesikilizwa na kutolewa hukumu ikiwemo ya Anold Shemasi aliyedaiwa kumuua mtoto wake mchanga kwa kutofanana nae.  Mahakama hiyo ilimehukumu kunyongwa hadi kufa Shemas, baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua…

Read More

Aweso Akagua tenki la kuhifadhi Maji Kibamba saa tisa usiku

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ukaguzi wa kushtukiza saa tisa usiku katika tenki la kuhifadhi maji Kibamba na kushuhudia maji yakiwa yamejaa ikilinganishwa na hali aliyoikuta juzi tar.1 July alipokuta tenki halina Maji kabisa, Waziri Aweso amesema kwamba hakuna sababu ya wananchi kukosa huduma ya maji na yaendelee kusukumwa kwa kasi hiihii na…

Read More

Gaza ni 'maelstrom ya taabu ya binadamu' – Global Issues

Huduma za umma zimeporomoka na zaidi ya milioni 1.9 sasa wamekimbia makazi yao, aliwaambia mabalozi katika Baraza la Usalamaikisisitiza hitaji muhimu la usitishaji vita kamili, wa haraka na kamili, kuachiliwa kwa mateka wote na usaidizi usiozuiliwa katika eneo lote. “Vita hivyo havijaleta janga la kibinadamu tu, bali vimeibua msukosuko wa taabu za wanadamu.,” alisema. Sheria…

Read More

Kesi za mauaji ya Mielembe kuendelea kunguruma Geita leo

Geita. Wakati Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Geita ikiendelea na kikao cha pili cha kesi za mauji hapa Mjini Geita leo, tayari kesi mbalimbali zimesikilizwa na kutolewa hukumu ikiwemo ya Anold Shemasi aliyedaiwa kumuua mtoto wake mchanga kwa kutofanana nae.  Mahakama hiyo ilimhukumu kunyongwa hadi kufa Shemas, baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua…

Read More