
Chuo cha afya Nobo kuzalisha wataalam wengi wa mionzi
Na mwandishi Wetu Chuo Cha Afya Nobo kilichopo Tabata Segerea Ilala Jijini Dar es Salaam, kimekuja na mkakatiwa kupunguza uhaba wa wataalam wa mionzi hapa nchini kwa kuanzisha kozi ya fani hiyo. Mkuu wa Chuo hicho Michael Mbasha , aliwaambia waandishi wa habari jana kwamba mwakahuu chuo kitafundisha Stashahada ya Uchunguzi wa Magojwa kwa kutumia…