
MHE. MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU MAONESHO YA SABASABA
Na, Mwandishi Wetu – Dar Es Salaam Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda ametembelea banda la ushirikiano linalotumiwa kwa pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Taasisi zilizopo chini yake katika maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa ili kujionea jinsi watumishi wa ofisi hiyo wanavyotoa huduma kwa wananchi na wadau kwa ujumla. Akiwa…