Dubois kumrudisha AJ kwa Tyson, Usyk

WIKIENDI iliyopita ulitokea msuguano mkali kati ya Anthony Joshua (AJ) na Daniel Dubois kiasi cha kutaka kuzichapa ‘kavukavu’ mbele ya wasimamizi wao, uliamsha hisia zaidi za pambano lijalo, Septemba 21, mwaka huu. Waingereza hao watapigana katika Uwanjani wa Wembley siku hiyo kuwania mkanda wa IBF ambao upo mikononi mwa Oleksandr Usyk ambaye imemlazimu auachie ushindaniwe…

Read More

Mastaa Umitashumta kuitwa Stars | Mwanaspoti

WAKATI Shirikisho la Soka nchini (TFF) likiwa limeshapokea barua ya kustaafu kuitumikia Taifa Stars ya nahodha, Mbwana Samatta, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro ametaja mikakati ya kupata warithi wa wachezaji waliopo na mastaa wa baadae. Ndumbaro ambaye alikiri kupokea barua ya Samatta, alisema wizara imeshatoa maelekezo kwa vyama vyote vya michezo…

Read More

Ibenge aingilia ishu ya Chama

KOCHA maarufu kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki, Kati na Kaskazini anayeikochi Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge amefafanua jambo kuhusiana na staa mpya wa Yanga, Clatous Chama. Mzambia huyo alijiunga na Yanga juzi Jumatatu akitokea Simba aliyomaliza nayo mkataba baada ya kuitumikia kwa mafanikio ikiwemo kuipeleka kwenye robo fainali za mashindano ya klabu Afrika mara…

Read More

Simba mpyaa Mnahesabu hukoo.. | Mwanaspoti

TAYARI Joshua Mutale kiraka wa Zambia ameshatambulishwa rasmi Msimbazi. Jana mchana ilikuwa zamu ya Steven Mukwala, staa wa Uganda. Lakini sasa unaambiwa Simba imetuma tiketi mbili za ndege katika mataifa mawili tofauti ili kuwashusha nchini wachezaji wawili matata akiwemo mrithi wa Clatous Chama aliyetangazwa kujiunga na Yanga, juzi. Kati ya tiketi hizo moja imeenda Kinshasa,…

Read More