APC WAJIPANGA KUVUTIA WAWEKEZAJI NCHINI

  UONGOZI wa Hoteli ya APC wameiomba serikali kuongeza siku na muda wa maonesho ya 48 ya biashara ya kimataifa sabasaba kwani bado watu wanauhutaji mkubwa wa huduma zao na wao kupata fursa ya kuendelea kujitangaza. Hayo yamesemwa leo na Afisa Masoko kutoka APC Hotel Conference Center – Happy Sanga katika maonesho hayo ambayo yanatarajiwa…

Read More

Rais Samia amuondoa bosi TRA

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata kuwa Mshauri wa Rais, Ikulu nafasi inayomuondoa katika nafasi yake ya awali. Kidata anaondolewa TRA ikiwa ni wiki moja ipite tangu mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima ufanyike wakilalamikia utitiri wa kodi unaotozwa na TRA. Aidha, Rais…

Read More

Makato kodi ya majengo yazua taharuki

Dar es Salaam. Mwaka mpya wa fedha wa 2024/25 ukianza, wananchi wamelalamika kuongezeka makato ya kodi ya majengo kuanzia Julai Mosi 2024. Hata hivyo, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema ongezeko hilo ni malipo ya deni walilopaswa kukatwa Julai, 2023. Kwa mujibu wa shirika hilo, kodi ya jengo kwa nyumba za kawaida imesalia Sh1,500 kwa…

Read More

MBIBO AISHAWISHI BENKI YA STANBIC KUIFIKIRIA SEKTA YA MADINI NCHINI

STAMICO Yajipambanua maeneo ya ushirikiano STANBIC Benki Yasema inaitazama Sekta ya Madini Tanzania Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo ameishawishi Benki ya Stanbic kuifikiria Sekta ya Madini nchini na kuona namna inavyoweza kushirikiana nayo kutokana na uwepo wa fursa nyingi za kiuwekezaji na kibiashara ikiwemo mifumo mizuri ambayo inaweka usalama uwekezaji wao….

Read More

DC MANGWALA "MTUMISHI ATAKAYEKULA FEDHA ZA MAENDELEO ATAZITAPIKA"

NA WILLIUM PAUL, ROMBO. WATUMISHI wa Umma wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuhakikisha fedha zinazoletwa na serikali kwa ajili ya miradi ya maendeleo zitumike kama zilivyokusudiwa na yeyote atakayebaini kuzitumia kinyume atazitapika. Hayo yalisemwa na Mkuu wa wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala katika mkutano wa hadhara uliofanyika Tarafa ya Mengwe kata ya Mamsera ambapo alisema…

Read More