
Alichosema Lissu kuhusu Mchungaji Msigwa kutimkia CCM
Dar es Salaam. Siku chache tangu Mchungaji Peter Msigwa kutimkia Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu ameeleza kusikitishwa na uamuzi huo akisema: “Kwa kujiunga na maadui zangu wa kisiasa, sasa nitalazimika kukutana naye kama hasimu wake wa kisiasa.” Lissu amesema hayo leo Jumanne Julai 2, 2024 ikiwa ni siku nne…