
KUELEKEA MIAKA 60 YA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI ROYAL TOUR YATAJWA KUKUZA UTALII
*Mafuru aeleza mikakati ya TTB katika kukuza sekta ya Utalii LICHA Ya kuwa mbuga kinara inayotembelewa zaidi na watalii kutoka ndani ya Nchi, Hifadhi ya Taifa ya Mikumi Agosti itatimiza miaka 60 tangu kuanzishwa kwake huku juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kupitia filamu ya Royal Tour zikielezwa kukuza zaidi Utalii katika hifadhi hiyo yenye…