
NBAA YATOA ELIMU YA UHASIBU KATIKA MAENDELEO YA NCHI NA UWEKEZAJI
BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imesema kuwa hairuhusiwi mtu yeyote kufanya kazi za kihasibu bila kusajiliwa na Bodi hiyo na kuwa na CPA. Hayo yamesemwa na Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa NBAA, Magreth Kageya wakati akizungumza na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam katika maonyesho ya 48…