
MOI yapokea majeruhi 700 kwa mwezi, bodaboda zaongoza
Dar es Salaam. Taasisi ya Tiba na Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), imesema inapokea takribani majeruhi wa ajali za barabarani 700 kwa mwezi. Kati ya majeruhi hao, asilimia 60 ambayo ni sawa na wajeruhi sita kati ya 10 wanatokana na ajali zinazohusiana na pikipiki maarufu kama bodaboda. Takwimu hizo zimetolewa na…